Write your comment below. You will be asked to log in when you post it.
Yusuph Majigwa
1 week ago
Habari za wakati Mimi ni muhitimu wa chuo Ngazi ya stashahada ya pili ya uhasibu natafuta kazi. Asantee..
LAMECK MKUDE
3 weeks ago
Habar, ni muhitimu wa chuo ngazi ya shahad ya kwaza ya maendeleo ya jamii natafta kazi
BIBIANA COSTANTINO
1 month ago
I am interested in working with
Coca Cola Tanzania in Factory and Processing
DEUS HOSEA
2 months ago
**DEUS SADICK HOSEA**
S.L.P 68,
MASWA – SIMIYU.
Simu: 0760 425 751 / 0629 008 514
[deushosea100@gmail.com](mailto:deushosea100@gmail.com)
**Tarehe: 26 Agosti 2026**
**Kwa:**
Meneja,
**GOODWILL CERAMICS TILES**
**YAH: MAOMBI YA KAZI YA AFISA MAUZO**
Ndugu Meneja,
Ninaomba nafasi ya kazi ya **Afisa Mauzo** katika kampuni yako ya GOODWILL. Nina elimu ya **Diploma katika Records and Archives Management** ** Nina uwezo wa kufanya kazi kwa bidii, kushirikiana na wateja pamoja na kufikia malengo ya mauzo. Kwani mpaka sasa ninao uzoefu wakutosha katika kazi ya mauzo,katika kampuni ya Ronge &Bsa company limited kama Meneja Masoko.**
Ninaamini kuwa uwezo wangu wa mawasiliano, huduma kwa wateja na utendaji kazi kwa uaminifu utanisaidia kutoa mchango mzuri katika kampuni yako.
Naomba maombi yangu yazingatiwe, na niko tayari kuitwa kwenye usaili wakati wowote nitakapohitajika.
**Wako kwa uaminifu,**
**DEUS SADICK HOSEA**
Simu: 0760 425 751 / 0629 008 514
Comments
5